BASI LA SUPERFEO LILILOKUWA LINATOKA MBEYA KUELEKEA SONGEA LIMEPATA AJALI ASUBUHI YA LEO

BASI LA SUPERFEO LILILOKUWA LINATOKA MBEYA KUELEKEA SONGEA LIMEPATA AJALI ASUBUHI YA LEO, KARIBU NA INYALA PIPELINE MBEYA, NA KUDUMBUKIA MTONI, TUTAJUZANA ZAIDI KAMA KUNA VIFO VIMETOKEA NA HALI ZA MAJERUHI,,MWENYE HABARI ZAID ANAWEZA KUTUHABARISHA

Post a Comment

0 Comments