*MWIGIZAJI* Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya
kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na
wanaume wanaovutiwa nayo faragha.
*Mwigizaji* *Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’.*
Akipiga stori Aunty Lulu alisema wanaume wengi wamekuwa wakimiminika
kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake
ndivyo sivyo.
“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi
nimefundwa najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata
mara moja,” alisema Aunty Lulu.
1 Comments
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete