Waandamanaji wapambana na polisi nchini MAREKANI


Waandamanaji wapambana na polisi nchini MAREKANI
Tue Apr 28 2015
Waandamanaji wapambana na polisi nchini MAREKANI
Mapigano baina ya polisi na waandamanaji zimetokea nchini MAREKANI wakati wa mazishi ya kijana FREDDIE GRAY ambaye alikufa kutokana kujeruhiwa alipokuwa mikononi mwa polisi mapema mwezi huu.

Hali ya hatari na kutotembea ovyo imetangazwa katika mji wa BOLTIMORE kufuatia vurugu hizo.

Kifo cha FREDDIE GRAY ambaye ni kijana mweusi mmarekani mwenya asili ya kiafrika kimesababisha maswali mengi kuhusu matumizi ya nguvu za ziada ya polisi dhidi ya raia wa marekani wenye asili ya kiafrika.

Hata hiyo Msemaji wa polisi wa BALTIMORE Captain ERIC KOWALCZYK amesema vurugu hizo pia zimesababisha maafisa wake kujeruhiwa na wengine wapo katika hali mbaya.

Post a Comment

0 Comments