PRISONS yaambulia pointi moja dhidi ya MTIBWA

PRISONS yaambulia pointi moja dhidi ya MTIBWA
Ligi kuu soka TANZANIA BARA imeendelea kwa michezo miwili kuchezwa kwenye uwanja wa SOKOINE mkoani MBEYA na MABATINI mkoani PWANI.

Katika uwanja wa MABATINI MLANDIZI mkoani PWANI MGAMBO JKT wameshindwa kufurukuta dhidi ya wenyeji RUVU SHOOTING baada ya kukubali kichapo cha bao MBILI kwa MOJA.

Aidha kwenye uwanja wa SOKOINE wenyeji TANZANIA PRISONS wamelazimisha sare ya bao moja kwa moja dhidi ya MTIBWA SUGAR ya MANUNGU mkoani MOROGORO

Post a Comment

0 Comments