Jeshi la polisi mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa kosa la kukutwa na noti bandia WATCH THESE VIDEOS Waandishi watakiwa kufuata maadili kampeni ya uchunguzi wa Saratani ya matiti Oparesheni ya kukamata mazao ya misitu Noti bandia mkoani Tanga Jeshi la polisi mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa kosa la kukutwa na noti bandia, zenye thamani ya shilingi milioni ishirini na tano na laki tatu. Kamanda wa polisi mkoa wa TANGA, Constantine Massawe amesema watuhumiwa hao wamekamatwa eneo la Tengwe –Mkata barabara kuu ya Segera Chalinze. Amesema kukamatwa kwa watuhumiwa hao na noti hizo bandia kumetokana na taarifa za wasamaria wema ambao walitoa taarifa polisi waliokua kwenye kizuizi cha Tengwe-Mkata barabara kuu ya Chalinze Segera,

Post a Comment

0 Comments