Kwa ufupi
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema), Tundu
Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Zitto Kabwe.
Baada ya Mahakama Kuu Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo
kutupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa na Zito Kabwe dhidi ya Chama
Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) ya kuhoji uhalali wa uanachama
wake ndani ya chama hicho…
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu
ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto
Kabwe.
Akitangaza hatua hiyo ya kumvua uanachama,Lissu
amesema kanuni na sharia za chama hicho ziko wazi na zinaelekeza kuwa
endapo mwanachama yeyote atakishtaki chama hicho mahakamani na iwapo
atashindwa atakuwa amejiondoa mwenyewe kwenye chama
0 Comments