Na Emanuel Madafa,Mbeya
Kampuni
ya Simu za Mkononi ya Airtel
imekabidhi zawadi ya gari Toyota IST kwa mmoja kati ya kumi katika droo ya Pili Promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi inayofanyika kwa kipindi
cha miezi mitatu ambapo jumla ya magari 60 yatatolewa kwa wateja wanaotumia
mtandao huo.
Gari
hilo la nimoja kati ya magari sitini yanayoshindaniwa nchi nzima limetolewa kwa
mshindi kutoka Wilayani Kyela Mkoani Mbeya ambaye ni mkulima Edson Mwansasu katika hafla iliyofanyika
Viwanja vya CCM Ruanda Nzovwe jijini Mbeya.
Akizungumza wakati wa hafla ya
makabidhiano ya gari hilo Jijini Mbeya , Meneja Kanda za juu Kusini,
Straton Mushi, alisema gari hilo imegharimu sh. milioni 15na ni miongoni mwa
magari 60 yanayoshindaniwa nchini.
Amesema kuwa lengo ni kutoa maisha
bora kwa Watanzania kupitia katika shindano la shinda gari na Airtel Yatoshana
kwamba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imebahatika kutoa washindi wawili.
Amesema, kwa mikoa ya kusini magari
saba yamebaki kati ya tisa yanayoshindaniwa na kwamba jinsi ya kushiriki
mteja anatakiwa kupiga *149*99# kisha kujiunga kwenye vifurushi vya Airtel
yatosha.
Akikabidhi gari hilo kwa mshindi,
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, aliyataka makampuni
mengine kuiga mfano ulioonyeshwa na kampuni hiyo ya simu ya kurudisha
asante kwa wateja wake.
Naye mshindi wa gari Edson Mwansasu,
alisema amefurahi sana kwa kushinda zawadi ya gari kutoka Airtel kwani
imembadilisha maisha yake.
Mwisho.

0 Comments