Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura
287 (kwa Mamlakaza Wilaya) na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za
Miji) Sura 288 (kwaMamlaka za Miji) zinaelekeza kuwa Uchaguzi wa
Viongozi wa Mitaa, Vijijina Vitongoji hufanyika kilabaada ya miaka
mitano (5).
Kwa mwaka 2014, uchaguziwa Wenyeviti
wa Vijiji, Vitongoji, Mitaa;Wajumbe wa Halmashauri zaVijiji, na Wajumbe
wa Kamati za Mitaautafanyika nchini kote tarehe14Desemba,2014kama
ilivyotangazwanaWaziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa tarehe 2
Septemba, 2014.
Katikakufanya maandalizi ya
uchaguzi huo shughuli mbalimbali zamaandalizi zimefanyika na zinaendelea
kufanyika ili kufikia hatuambalimbali za ukamilishaji.
0 Comments