Shishi Baby akifanya mambo yake huku mashabiki wakiwa na midadi*.
*Msanii Shilole akiburudika vyema na dada yetu aliyekuja toka Norway
kujumuika nasi katika kupata burudani ya Shishi Beibii.*
*Wachaa weeee.*
*Msanii Shilole akipata kumbukumbu ya picha*.
*Shilole akiwa na Balozi wa Madagasca nchini Belgium.*
*Dada Rose akiwa na Shilole*
0 Comments