MZEE AIBUKA ASEMA KUWA ROSE NDAUKA MWANAE

Staa wa sinema za Bongo, Rose Donatus Ndauka.* *MADAI! Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Severin Daniel Ndauka amejitokeza katika Ofisi za Global Publishers na kudai kwamba, staa wa sinema za Bongo, Rose Donatus Ndauka ni mtoto wa kaka yake ambaye alichukuliwa kutoka Tanga na kupelekwa jijini Dar.* *Mzee huyo aliyekuwa akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wetu, alisema mwaka 1979, shemeji yake, Nyazimbili au mama Godwin (anayedaiwa ni mama wa Rose) alijifungua mtoto wa kike katika Kijiji cha Sakura wilayani Pangani, Tanga ambapo kwa bahati mbaya mamayake Rose  Alifariki Hivyo Mtoto Alichukuliwa Na Kanisa Ambaro Lipo msimbazi Jijini Dar Mzee Huyo Akutaja Jina Ambaro Lilimlea Mtoto Huyo Kwakuwa familia Aikuwa Na Uwezo
Mzee Severin Daniel Ndauka Anayedai Kuwa Rose Ndauka Ni Mwanae Baada Ya Hapo Atukupata Taarifa Namimi Nakaamua Kuja Dar Kumtafuta Nikafika Hadi Mbezi Ambapo Kanisa Lile Lilimlea Lakini Wakaniambia Rose Ndauka Alichukuliwa Na Kituo Cha Kulelea Watoto Kilichopo Kurasin Nilipofika Kurasin Nikaambiwa Alichukuliwa Na Msamalia Mwema Kwaajiri Ya Kumrea Tangu Hapo Hatukupata Taarifa Nyingine Baada Ya Hapo Dadayake Rose Anayeitwa Maria Ndauka Aliniambia Amemuona Katika Terevision Akiigiza Na Marehem Steven Kanumba Mzee Akasema Tumsaidie Rose Ndauka Tukampata Na Tukamuuliza Na Akakataa Kuwa Si BABA yake

Post a Comment

1 Comments