MDOGO WAKE ZARI APONDA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND

Mdogo wake na Zari Hassan aka The Bosslady, aitwaye Karim ametumia Facebook kumkosoa dada yake kwa kuwa na uhusiano na Diamond Platnumz ambaye anamzidi miaka 9.Kwenye post hiyo, Karim aliandika: You are ashaming us, how can you date a boy my age. You moved from one man to another in less than 3 days.”Akitumia akaunti yake binafsi ya Facebook yenye jina ‘Zarinah Tlale’, kujibu post hiyo ya mdogo wake huyo ambaye hapendezwi na kitendo cha dada yake kuwa na uhusiano na mtu mwenye umri kama wake, Zari alisema si Karim aliyeiandika. “Diamond is just a friend of mine. It’s never been Writer That female An male Icant Be Ijust Know Friend of Mine

Post a Comment

0 Comments