Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka
kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote.
*Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo.*
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema
akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la
kujiachia.“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu
kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi.
0 Comments