**Mwanamke Anayekupenda Kwanza Atakuangalia Usoni Kwa Muda Mrefu Kuliko
Ilivyo Kawaida Ya Wanawake Wengine Maranyingi Atakuangalia Usoni Na
Kutabasamu Hii Ni Moja Ya Ishara Muhimu Ya Kukuambia Njoo Niko Kwa Ajiri
YakoHivyo Kama Ulikuwa Unamuhitaji Basi Unaweza Kumfuata Na
KumwambiaUkweri nA kIraisi Nakuhakikisha Kuwa Anabeba Mzigo Kwani
Nitayari Anaisia Kari Za Mapenzi Juu Yako
0 Comments