USALITI KATIKA MAPENZI STORI YA KWERI 2

Utangulizi'''''''''''Wiki Iliyopita Nakumbuka Niliishia Nipo Hospital Baada Yakumkuta Mke wangu Yupo Na Mwanaume Chumbani Kwangu Kabla Sijaendelea Ningependa Kuwatambulisha Jina La Story Inaitwa Usaliti Wa Mapenzi Katika Ndoa Sehemu Ya Pili  Baada Ya Kuzinduka Kule Hospitali Sikujua Nini Kilipelekea Mimi Niwe Kule Hospitali Kwasababu Nilipoteza Fahamu Docta Akaniambia Nipumzike Kwanza Kwasababu Nilikuwa yeye Mwenyewe Alikuwa Hajui Kitu Gani Kilinifanya Mimi Niwe Pale Baada Ya masaa Mawili Nanusu Wanafika Wazazi Wangu Hospital Na Mke Wangu Walinichukua Pale Hospital Na Wakanipeleka Home Kwasababu Nilisha Pewa Matibabu Kule Hospital Nilikuwa Niko Fresh  BaadaYa Kuludi Home Walifika Nyumbani Wazazi Wote Kujadili Lile Swala Mimi Niliaidi Kumuacha Yule Mke Wangu Kwa Ushenzi&Umalaya Alioufanya Kwakuwa Wazazi Waliniambia Nimsamehe Nikaona Nibola Nimsamehe Na Mkewangu Aliaidi Atorudia Tena! Basi Baada Ya Miezi 6Mke Wangu Nilifanikiwa Kumpa Mimba  Tukaendelea Na Maisha Yetu Basi Nilikuwa Nikimtekelezea Kila Anachotaka Mke Wangu Hadi Kupika Nilikuwa Napika Kuosha Vyombo'''Nk Yani Kazi Zote Alizokuwa Akifanya Mwanamke Nilikuwa Nikizifanya  Lakini Ile Mimba Ilikuwa Siyo Mimba Yangu Ilamimi Nilikuwa Sijui Kinachoendelea Kuusu Ile Mimba Kwanza Baada Yakupima Mke Wangu Alikuwa Anaonyesha Kutopenezewa Nakile Kitendo cha Yeye Kuwa Na Ile Mimba Basi Baada Ya Siku Tata Nikawanaendelea Nakazi Yangu Ilikuwa Ifikapo Hasubuhi Naamka Navaa Naelekea Kazini Basi Ikawa Kila Nikiondoka Mkewangu Na Lafikiyake Wanaongea Mazungumzo Yakawa Ivi'''''Mke Wangu:Lafiki Yangu Nimekukumbuka""""Rafiki;Wewe Siumepata Saizi Unashindwa Atakunipigia Shost Wangu Waukwee"""""Mke Wangu Mwenzangu Lasfiki Ninashida """""Rafiki;Shida Gani Hiyo Shost ""Mke Wangu:Rafiki Kuhusu Ihi Mimba Rafiki Nina Mimba """Rafiki;Kuhusu Mimba Sasa Sijambo La Kheri Ilo Ongera Mwenzangu'''''Mke Wangu;Ongera Wapi Shost Unakumbuka Kabla Mme Wangu Ajanioa Kabla Ya Fungate Nililala nayule Mchumba Wangu Wa Zamani''''''Rafiki;Nani Huyo Au Yule Sangandala''''''Mke Wangu ;Huyouyo Rafiki Alinilazimisha Nifanye Nae Tendo La Ndoa Arafu Chaajabu Nilikuwa Kwenye Siku Zangu Namimi Nililala Nae Mbaka Hasubuhi''''''Rafiki; Makubwa Shost Kwaiyo Unataka Nifanye Kitugani'''''Mke Wangu;Fanya Lolote Linalowezekana Kuhusu Hii Mimba Maana Mimi Nimeshindwa Nakutegemea Wewe'''''Rafiki;Sasa Hiyo Mimba Inasiku Ngapi Inabidi Tukatoe Shost''''"Mke Wangu;Rafiki Haitawezekana Maana Inamiezi  Sita Imeshakuwa Kubwa Mwenzangu''''''Rafiki ;Unajua Ufanyaje Mtese Huyo Bwana Mchezeshe Kaundime Hadi Hakuchoke Hakisha Kuchoka Atakuambia Ukajifungulie Kwenu Ukishaenda Kujifungulia Kwenu Hatafafamu Kinachoendelea Kuhusu Hiyo Miba Kwaiyo Mfanyie Ndondo La Kila Haina Mtese Mbaka Basi Yani Nakuaminia Rafiki Usio Fanya Hivyo Utajiju Shost''''''MkeWangu;Kwailo  shost Haina Tatizo MimitafanyaKila Namna Utaona''''''Call Ended'''''''           Itaendelea

Post a Comment

0 Comments