USARITI KATIKA MAPENZI::::Kabla Sijaanza Kwanza Mapenzi Ni Upofu""Siku
Mmoja Ilikuwa Ni Jumapili Niliondoka Songea Kwenda Riganga Kwenda
Kutafuta Mchumba Niliona Mademu Wa Mjini Shule Niakaona Nibola Niende
Zangu KIJIJINI Ringanga Basi Ikawa Ivyo Nilitoka Songea Majira Ya Saa
Tatu Kamili Juu Ya Arama Nikatoka Singea Nilipofika Riganga Ilikuwa Ni
Saa 11;25 Nilipokerewa Na Brother Wangu Aliyeitwa Kajina La Kassimu Yeye
Alikuwa Anaishi Na Mke Kiujumla Alikuwa Nafamilia Ya Watoto Watatu
Baada Ya Siku Tano Nikamwambia Brother Nina shida Kaka Akaniambia
Unashidagani?? Mimi Nikamwambia kk Nimekuja Kijijini Nina Shida Ya
KKutafuta Mchumba Kaka Aliniambia Dogo Kwailo Amna Tatizo Akanipeleka
Kwa Wazazi Wa Mtoto Yani Namaanisha Yule BintiTukaenda Mimi Na Kaka
Tukaongea Siku Ya Pili Nikaenda Kutoa Mahari Shilingi 700000 Za
Kitanzania Nikakaa Kule Kijijini Kama Miezi Saba Hivi Na Nikaona Bora
Nimuoe Nilimuoa Lakini Nilimuoa Kulekule Kijijini Kwasababu Sikutaka
Ndoa Ichelewe Basi Ikawa Ivyo BAADA Yandoa Kupita Tukaamua Tuamie Mjini
Maana Huku Mjini Nilikuwa Na Kazi Kazi Nilikuwa Nafanya Kazi Katika
Kampuni Moja Inayoitwa Hajiz Classic Company Limited Uko Songea Katika
Mji Unaoitwa Police Basi Ikawa Ivyo Baada Ya Miaka Miwili Yule Msichana
Alianza Kupata Mashoga Alivyoanza Kupata Mashoga Alinanza
Kibuli/Zarau/Kutoniheshim Mimi sIKU mOJA Kipindi Narudi Nyumbani
Nikalikuta Gari Nje Haina Ya Fusso Nikashanga lIle Gari Mbona Limesimama
Pale Getini Kwangu Limeisha Mafuta Nini Kwakweri Lilikuwa Ni Gari Zuri
Nilivyoingia Ndani Nilimkuta Mke Wangu Na Mwanaume Mwingine Tena Ni
Rafiki Yangu Ghafla Palepale Nikazimia Nikajikuta Nipo
Hospital,,,,,,,,,,,,Usikose Sehemu Ya Pili Ya Muendelezo Wa Story Nzuri
Ya Mapenzi Na Usariti
0 Comments