Baada Ya Siku Ile Ya Ijumaa Tumepata Habari Katika Gazeti La Ijumaa
Tumekutana Na Habari Hii apa_____Staa Wafilamu Mwanamuziki Anaye Iti kwa
sasa Zuwena Mohamed..Shilole..Ameongea Kuhusu Mchumba Wake Nuhu
Mziwanda Kumuomba Msamaha Aliongea Kwenye Gazeti La Ijumaa Shilole
Aombwa Msamaha Eti Shilole Anasema Alimkuta Mchumba Wake Hotel Na
Mwanamke Shilole ALIZUNGUMZA alisema Lilitokea Kasheshe Na Aliamua
Kumuacha Nuhu Mziwanda Baada Ya Wiki Mbili Mbele Nuhu Mziwanda Mchumba
Wa Shilole Amekwenda Nyumbani Kwake Shilole Temeke Kumuomba Msamaha
Shilole Bado Hajatuambia Kama kama amemsamehe Usisite Kufungua Mahaba
Nihue Nikipata Habari Ntakujuza Good Time
0 Comments