SHAMO GENGSTARS kundi linalofanya poa sasa kanda ya kusini mwa tanzania
zaidi maeneo ya songea juzi lilikubalika na wasanii pamoja na mashabiki
na kupata nafasi ya kushinda kufanya nyimbo bure katika studio za
PARADISE RECORDS
DIRECTOR NA PRODUCER wa PARADISE RECORDS alihaidi kutoa nafasi hio ya
bure kwa katika siku yake kuzaliwa na akatoa nafasi kwa wasanii na
mashabiki kupendekeza nani anastahili kupewa nafasi hio... hatimaye
SHAMO GENGSTARS walijishindia nafasi hiyo.
baada ya kuapata nafasi hiyo SHAMO GENGSTARS wametoa shukurani zao kwa
wote waliowapendekezaa kuchukua nafasi hiyo... na wahahaidi
kutokuwaangusha mashabiki wao...
0 Comments