Nashangaa Sana Eti Kila Mtu Analilia Mapenzi Unajua Mazala Yake
Unang`ang`ana Eti Nampenda Unajua Madhara Ya Kupenda Wewe Usjaribu Hata
Siku Moja Kupenda Usipotakiwa Utajuta Eti Unamfuata Msichana Wa Chuo
Utalea Mschana Mmoja Kama Unalea Jeshi Zima Nawaambia Wale Wa Kuhonga
Munajijua Wanawake Hawaaminii bWana Ukitaka Mwanamke Aliye Tulia Ambaye
Umemvunja Bikra Huyo Ni Mwanamke Ambaye Atakuelewa Pasipo Hivyo Shidah
0 Comments