Moja
ya makosa makubwa ambayo yamekuwa yakifanywa na wanaume, ni kujifunza
mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi na wanawake zao wakidhania kuwa kujua namna
na staili mbalimbali, ndio kunawafanya wanawake zao kufikia kileleni.
Nasema ni makosa kwasababu, wakati mwanaume yeye anapokuwa na mwanamke
akili yake mara nyingi huwa ni kutaka kumridhisha,
wanawake kwa upande wao, wameumbwa kutaka kuridhika na sio kukojoa tu.
Na
ndio maana, katika makala hii, hatutagusia mbinu za kufanya mapenzi hadi
umkojoleshe mwanamke, bali mambo ambayo wanawake wanayataka (wanataka kufanyiwa wakiwa kitandani), ili waweze kutosheka na raha wanazopewa na wenza wao.
Inawezekana
kabisa kuwa yapo mengi sana ambayo wanayataka, so haimaanishi kuwa
nilichoandika hapa ndio iwe katiba yenu katika kufanya mapenzi , bali ni
mwongozo na ambao umegusia yale yaliyo ya muhimu sana ambayo aghalabu
wanawake wote ndio wanayataka.
Kwa yale ambayo yamepungua, wanawake
wenyewe watafunguka hapa na kuyaeleza, na kwa yale ambayo wanadhani
hayako sawa....ruksa kuyarekebisha pia.
Otherwise, hapa ni mambo
11, ambayo mwanaume ukiyafanya kwa mwanamke wako, hakika utakuwa
umejijengea ulinzi wa yeye mwenyewe kujilinda dhidi ya mwizi au dokozi
yeyote huko nje.
#1 – Mfanye akojoe kabla hujamuingilia
Inawezekana
likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakini ukweli ndio uko
hivyo.
Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na
wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi.
Wengi huwaandaa
wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana
ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini
wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo.
Ikiwa
mwanaume utaweza kumfanya mwanamke akojoe kabla ya kumuingilia,
unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo la kutiana zaidi na
kukuweka miongoni mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha yake.
Hii
humfanya awe tayari yuko kwenye hali ya kuhitaji tu kuingia kwa uume
wako aweze kupiga bao la pili, na hii inamaanisha kuwa inaweza
kuwasaidia sana wale ambao huwa wanakabiliwa na tatizo la kukojoa haraka
sana.
Hata ukipigwa bao la usoni sawa tu...Mruhusu!!!
Hata ukipigwa bao la usoni sawa tu...Mruhusu!!!
#2 – Vumbua maeneo mengine yenye kumsisimua
Ndio,
sote tunajua kuhusu matiti, ki**mi, kiharage, kunyonya ulimi na
mengine, lakini hadithi haitakiwi kuishia hapo tu.
Kama ambavyo wanaume
wamezoea baadhi ya maeneo yenye kuelezwa kuwa yanamsisimua sana
mwanamke, ndivyo ambavyo nao huzoea sana kusisimuliwa kupitia maeneo
hayo.
Hii maana yake ni kuwa, unaweza kujikuta unazama kwenye ile hali
ya kuzoeleka sana, ambapo akikuona tu, anakuwa tayari anajua huyu
ataanza hapa, ataishia pale na atakojoa namna hii. Hili haliwezi
kumsisimua mwanamke.
Mwili
wa mwanamke, una maeneo zaidi ya 16, ambayo yakichezewa au kuguswa
kiufundi wa kimahaba, huweza hata kumfanya mwanamke huyo kukojoa kabla
ya kuingiliwa.
Tumezoea G-Sport kwa mfano, lakini ni wangapi tunajua kuhusu U-Spot katika uchi wa mwanamke?
Wangapi tunajua kuhusu A-Spot?
..... ufahamu vizuri mwili wa mpenzi wako, na uuzingatie wote kwa
ujumla wakati wa kufanya mapenzi naye, na hakika utakuwa shujaa wake.
Matiti yakisisimuliwa vizuri ni kiungo cha ajabu kwa mwanamke!
#3 – Usiwe kama kuku
Ndio,
licha ya kuwa hapo awali tunaambiwa kuwa ikiwa utaweza kumfanya
mwanamke afike kileleni kabla ya kumuingilia, unamjengea mazingira ya kufika kileleni
haraka pindi unapomuingilia, lakini haimaanishi basi uwe kama kuku au
risasi, kwamba ikishachochewa tu basi inachomoka kwa spidi
isiyomithilika.
Mwanaume kudumu kwenye tendo kwa muda wa kutosha, ni moja ya mambo
yenye kumjengea heshima kwa mwanamke wake na kumuona kuwa yu shujaa.
Sometimes,
pumzi zako kitandani zinaweza pia kutafsiriwa kuwa ni pumzi za mtaani,
na kama kitandani hauko nazo za kutosha, itakuwaje siku mmevamiwa mkiwa
matembezini na watu unaotakiwa kupigana nao?
Tofauti
kubwa sana baina ya wanaume na wanawake ni kuwa, wanaume wengi
hujamiiana kwa minajili ya kufika kileleni, ilhali wanawake hujamiiana
kwa
minajili ya kustarehe.
So, usiifanye starehe hiyo kuwa ya dakika
moja...lakini pia usiiifanye kuwa ya kukarahisha, kama ambavyo wanaume
wengi wanaamini kuwa kumsugua mwanamke uchi hadi akahitaji barafu la
kujikanda ili ipoe, ni ushujaa.
Nusu saa hadi dakika 50 ni muda muafaka
kabisa, na zaidi ya dakika 60, kwa wanawake wengi inaweza kuwaondolea
sence ya starehe na wakajiona kama wanalipishwa walicholishwa.
#4 – Maandalizi ya kumpa mshawasha wa kuihitaji
Ndio,
wapo wanaume wengi tu wanaoweza kujinadi kuwa
wanajua kuwaandaa wanawake zao kwakuwa wanajua kuwanyonya vi**mi,
kunyonya matiti nk, lakini ukweli ni kwamba wengi hatuko hivyo.
Kama
ambavyo nimetanabaisha hapo awali, asilimia kubwa ya wanaume huwachezea
wanawake sio kwa lengo la kuamsha hisia zao kwa ajili ya kujamiiana, bali
kwa minajili ya kuwafanya wapate ule ute ambao utawarahisishia wao
kuingia.
Kitu
kikubwa wanachopendelea wanawake, ni aina ya mwanaume ambaye anaweza
kumfanyia vimichezo vya kumtia hamu hadi ikiwezekana aanze kuulilia muhogo.
Jidai kama unataka kumnyonya ki**mi, lakini usifanye hivyo, pumua
usawa wa mdomo wa uke wake kiasi cha kumfanya ahisi pumzi yako, mlambe
mapajani...sio lazima kila siku iwe kwenye tundu la uke.......
Haya ni
baadhi ya yatayomfanya aanze kutamani kwani unakuwa tofauti tofauti, na
ukiamsha hisia zake kwa namna ya kipekee.
Na hili basi ndilo lenye
kupelekea umuhimu wa jambo jingine lifuatalo ambalo wanawake
hulihitaji....cheki namba 5 hapa chini
Tumichezo kama hutu twa Manaiki Sanga tunasaidia...
#5 – Kutiana kwa ulimi/mdomo
Inashangaza
sana kwa kweli...wakati wanaume wengi wamekuwa wakijisifia sana kwa
kuwafanyia maandalizi wenza wao, tafiti zinaonyesha kuwa, zaidi ya
asilimia 70 yao wamekuwa wakieleza kuwa wanafanya hivyo kwa kutumia tu
vidole vyao.
Sawa na ambavyo asilimia 70 ya wanawake walisema kuwa
wanadhani kwa kutumia tu viganja vyao wanaweza kumfanya mwanaume
akasimama vya kutosha kuwaingilia.
Ukweli
ni kwamba, hii sio sahihi kabisa.
Umepewa viungo zaidi kwa ajili ya
kumfanya mwenzako aweze kufurahia tendo la ndoa, na ikiwa unaweza
kuvitumia, kwanini unavibania bania?
Unaona kinyaa kwa mwenza wako au ni
nini hasa? Tumia ulimi wako, mnyonye kila mahali ambako unadhani ulimi
huo unaweza kufika na ukamfanya aseme "Oh...am going crazy"
#6 – Msisimue kwa kauli zako
Wanaume
wengi sana huwa mabubu wawapo kitandani wakihofia kuwa wapenzi wao
watawafikiria namna gani vipi wakisema sema wakati wanajamiiana
nao...
lakini mbona wengine huwa wanaishia kupiga makelele wanapotaka
kushusha mizigo yao?
Kama unaweza kushindwa kujibana kupiga kelele
wakati wa kukojoa, kwanini basi ujizuie kumpa maneno matamu matamu
wakati unaendelea kumstarehesha?
Nong'ona kwenye sikio lake, mweleze kiasi gani ni mtamu....hata zile oooh....sss....mmmm
zako, zifanye sikioni kwake.....
wanawake huwa hawajisikii raha sana
wanapokuwa wanaguswa hata kwenye kitu gani wakati wa kujamiiana, ikiwa
mwanaume yuko kimya tuuu, utadhani dumwana ambalo linashangaa kilichoko
mbele yake.
Anakuwa
hajui kama unaenjoy anachokifanya kwako au laa.
Ni sawa na wewe
mwanaume, unajisikiaje pale unapokuwa umemgusa mwanamke mahali fulani
penye mzizi wa utamu na akaanza kukwambia kwa ile sauti ya kipekee
akisema "hapo hapo...hapo hapo jamani raaaha"....
Epuka tu sauti
yako isiwe ambayo itamfanya anywee kama alomwagiwa maji ya baridi ilhali
alikuwa anakaribia kuanza kuelea angani.
Unaweza kumsifia hata kabla gemu halijaanza....
#7 – Jenga mahusiano ya macho yenu
Hivi,
ishakutokea ukakojoa ukiwa unamtizama mpenzi wako machoni kwa muda wote
wa tukio hilo tu la kukojoa?
Au kumtizama machoni moja kwa moja yeye
akiwa anakojoa?
Kwa taarifa yako, hili ni moja kati ya mambo yaliyo na
raha ya kipekee ambayo huwezi kuelezea kwa maneno.
Mawasiliano ya macho
wakati wa kujamiiana, huimarisha sana ile hali ya msisimko baina yenu na
ikiwa inatokea mwanamke uliye naye alishawahi kutokewa na mwanaume
ambaye wakati wanajamiiana alikuwa akimtizama usoni moja kwa moja, basi si
ajabu mtapomaliza akajitoa kimaso maso na kukuuliza "mbona ulifumba
macho wakati unakojoa", na hapa atakuwa akimaanisha kuwa kuna
ulichomnyima.
Mwanaume,
jitahidi kubadili utaratibu wa kila siku kuzima taa wakati mnajamiiana,
acha taa ziwake wakati mwingine, na zipo taa ambazo zenyewe tu kwa uwezo
wa rangi zake, huwafanya mjihisi mko dunia nyingine kabisa, kumbe ni
kwenye kitanda chenu kile kile ambacho kila siku mnakitumia.
Mazoea ni
mabaya, lakini haimaanishi kuwa hamuwezi kubadilika, na ikiwa unaweza
kuongoza jahazi la mabadiliko haya, akizoea hakika atakuwa akikufurahia
zaidi.
#8 – Mzingatie baada ya kumaliza kujamiiana
Jambo moja ambalo wanaume wanafanya makosa, ni kumu-ignore
mwanamke punde wanapokuwa wamemaliza kujamiiana.
Hawajui kuwa, huu ni muda
ambao mwanamke anakuwa yuko wazi mno kwao, muda ambao unaweza kumueleza
lolote na akakuelewa zaidi ya ambavyo angekuelewa wakati mwingine
wowote ule.
Kimaumbile, wanawake hawakuumbwa kupoa haraka pindi
wanapokuwa wamemaliza lile tendo la kuingiliwa.
So,
unaweza kuwa umemkojolesha na kumgusa kila angle ambayo unaijua, lakini
kitendo cha kumkumbatia, ukampiga busu na kumwambia "asante", huku
ukimruhusu alaze kichwa chake tu kifuani mwako kwa kupumzika, kina maana
kubwa sana, iliyo sawa au hata zaidi ya kitendo mnachokuwa mmetoka
kukifanya.
Huu ni wakati wa kummwagia kila aina ya sifa ambayo
anaistahili, na ndio muda muafaka wa kumuandaa kuwa na hamu ya wewe
safari nyingine utapomhitaji.
#9 – Mpe fursa ya kuliongoza jahazi kwa niaba yako
Wanaume
wengi sana wameumbwa kutaka kuwa vinara kwa kila kitu, hata wanapokuwa
kwenye kujamiiana, hupenda wao ndio waongoze kila move.
Sio mbaya kwasababu
wanawake nao wameumbwa kuwaongoza wanawake na hilo linaeleweka.
Ni
kweli kuwa una wajibu wa kuhakikisha unamgusa kila anapotaka, umfikishe
kileleni anapopaota, lakini kwa upande wa pili, kuna asilimia kubwa tu
ya wanawake ambao wangependa sana kupewa fursa ya wao kutawala dimba
wakati wa mchezo.
Sio
suala la kumwambia, leo mie nitalala tu na kukuacha uhangaike na mhogo
wangu unavyotaka, laa...atakuona mdhaifu, uliyechoka au unayemsusia tu.
Kwa kutumia ile ile dhana ya wewe kuongoza jahazi, hakikisha
unatengeneza mazingira ya yeye kuutawala mchezo na kuongoza mashambulizi
kuelekea anakoona kuwa mshambuliaji atafunga goli la msimu.
Wanawake
wana-enjoy sana wanapoona kuwa wanaume wao wamewapa mamlaka ya kutawala
dimba, kwani hiyo huwajengea fikra za kuwa wanaaminika kiuwezo,
kiuchezeshaji na hata kiumaliziaji.
Wapo
mfano wanawake ambao hupenda sana kunyonya muhogo ya wapenzi wao hadi
kukojoa, lakini anapotaka kujaribu tu, unakuta janaume hilo, linamwambia
aaah, mie sipendi hiyo....au anamuacha ila akikaribia anaanza kumwambia
acha nitakojoa .... si umuache?
Kwani unadhani yeye hajui kuwa
akikunyonya utakojoa? Mpe nafasi, anyonye anavyotaka, hata kama ni
kukojoa, mkojolee mdomoni tu, maana yu ajua kuwa ndio mwisho wake,
lakini kwakuwa anataka umfanye, lazima atajua pia namna ya kukurejesha
askari wako awe mkakamavu.
Hata kama akitaka "akufanye" mruhusu tu...!!!
#10 – Ondoa mazoea
Wanaume
ni watu wa ajabu sana.
Wakati wanaweza kujisifia hadharani kuwa naweza
kumfanya hivi mwanamke, nikamgeuza vile, nikamnyanyua hivi na vile,
tafiti za kisayansi zinabainisha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume, huwa
hawapendi sana kuwataka wapenzi wao kubadili staili wakati wa kujamiiana.
Ndio, inawezekana mnatumia staili mbalimbali, lakini sio kwasababu
mnaambiana, bali kwakuwa unaweza kuta leo imetokea mwanamke alijiteka
kifo cha mende, basi utaendelea...kesho akijitega mbuzi kagoma kwenda,
itaendelea hivyo hivyo.
Uchunguzi
ambao umethibitishwa na wataalamu ni kuwa, wanawake huwapenda sana
wanaume ambao wana uwezo na courage ya kuwataka wabadili mikao
wanapokuwa wakiendelea na game.
Ni kama mchezaji wa football vile,
anavyowasisimua watazamaji pale anapoanza ku-invent mbinu za kubadili
mchezo wakati mchezo ukiwa unaendelea.
Hata kubadili mazingira tu yaweza kuleta msisimko wa kushangaza !
#11 – Kuwa mwenye shukrani
Kama
ulidhani kuwa shukrani kwa mwenzako ni asante tu, basi ulikosea.
Hivi,
unadhani wale makahaba wanaouza miili yao kule huwa hawaambiwi asante
kwa huduma zao? Wanaambiwa sana tu, lakini mbona hawawakubali wale wote
wenye kuwashukuru?
Shukrani
kwa mwenza wako inatakiwa iwe ya kivitendo zaidi.
Ufanye mwili wako
uonyeshe kuwa unashukuru kwa vile anavyokupa mwenzako, kabla hata ya
kutamka kwa mdomo wako kumshukuru.
Kushukuru kwa mwili ni pamoja na kuwa
"gentle" wakati wa kujamiiana kwenyewe, na sio unakuta mtu unakazana
kumsugua mwanamke wako utadhani unadhamiria kuhakikisha kuwa unafidia
bia na vinywaji ulizomnywesha, au mahari kubwa waliyokulipisha wazazi wake wakati
wanakukabidhi (kama ni mkeo wa ndoa)
Kwa leo, naomba tuishie hapa....samahani kama nitakua nimetumia maneno makali....lakini ndio soma hilo la ndoa
0 Comments