Je inawezekana mwanaume akamgundua mwanamke anayefanya naye mapenzi
hakufika kileleni bali anajifanya tu? Kama wewe ni mwanaume ambaye
unajali iwapo mpenz wako amefika kileleni au anajifanya tu,basi una
nafasi kubwa ya kugundua uongo wake. Lakini iwapo ww ni mwanaume
unayejali raha yako peke yako (wanaume wengi wako hivyo) basi hutajal
kama umefanikiwa kumfikisha kileleni au la.
Kuna dalili
nyingi ambazo zinaonyesha kuwa mwanamke bado hajafika kileleni. Kwanza
ni muhimu kukumbuka kuwa kufikia kileleni kwa nmwanamke sio jambo la
mwili peke yake bali ni pamoja na hisia za nafsi yake,vitu hivi viwili
huenda pamoja hivyo uonapo kuwa mwanamke haonyeshi uchangamfu juu ya
kipindi mnafanya mapenzi au anajaribu kukuharakisha basi ujue kuwa upo
uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo hatafika kileleni bali atajifanya
tu. Jambo la pili la kuangalia ni mwanamke ambaye anadai kufika kileleni
baada ya muda mfupi,umekuwa umejiandaa kufanya mapenzi kwa muda mrefu
mara tu kama radi unasikia mwana mke anasema au kukuonyesha kuwa amefika
kileleni hapo fahamu kuwa upo uwezekano mkubwa kuwa umedanganywa.
Vitu mbalimbali huonekana pale mwanamke afikapo kileleni kwa mfano
wanawake wengine huwa wakimya sana na mawazo yao na nafsi zao zimezama
katika wimbi la raha wanayoipata,wanawake wengine hupiga kelele na
kumshika mwanaume kwa nguvu sana na kumbana au kutoa milio fulani,chuchu
za matiti husimama,rangi ya ngozi hubadilika na kutokwa na jasho
jingi.Usipo yaona baadhi ya mambo haya,hasa kusimama kwa chuchu za titi
basi kuna uwezekano mkubwa mwanamke huyo hajafika kileleni.
Wanawake wengi wafikapo kileleni hupumua haraka haraka na uke wao
utabana uume wako,mapaja yake hutetemeka na hukunja mgongo na miguu pia
kama hutayaona hayo upo uwezekano mkubwa hajafika kileleni japo anaweza
kusema amefika. Mwanamke aliyefika kileleni KISIMI chake wengine huita
KINEMBE kinakuwa laini mno kiasi kwamba hataki aguswe na chochote katika
kiungo hicho naarufu. Hivyo uonapo bado anaendelea kukata kiuno
japokuwa amesema ameshafika kileleni na haonyeshi dalili za kujisikia
vibaya au kupunguza kasi yake au kusimama kabisa basi jua kuwa upo
uwerzekano umedanganywa.
Njia nzuri ya kumgundua kama
kweli anenda klileleni unapofanya naye mapenzi ni kuacha ghafla katikati
ya sex,utakapo fanya hili ataonyesha hali ya kutofurahia hatua hiyo
kama alikuwa hakaribii kileleni basi hakutakuwepo na tofaut yeyote kwake
na hataonyesha hali ya kutofurahia kukatishwa kwa kitu ambacho
hakikuwepo hivyo kujifanya kwake kutakuwa dhahiki kwako. Kufika kileleni
katika mapenzi kunahusisha utumiaji mkubwa wa nguvu za mwili,hivyo kama
kasi yake ya kupumua haikubadilika sana basi atakuwa anakudanganya
asemapo amefika kileleni, pili iwapo mwanamke ataweza kuinuka na kutoka
kitandani na kwenda kufanya vitu vingine mara baada ya kusema au
kuonyesha kuwa alifika kileleni atakuwa amekudanganya kwani kufika
kileleni hutumia nguvu nyingi za mwili na huhitaji pumziko refu kidogo.
Au uonapo mara baada ya kufika kileleni anaanza maongezi ya kawaida
kabisa, jua uongo umekuja kwani mara ya baada ya kufika kileleni
mwanamke huwa anafikiria kitu kimoja tu na kitu hicho ni alivyofurahia
na kuridhika na ubingwa wa mwanaume katika tendo hilo.
0 Comments