Diamond Na Zari
Kuvalishana Pete Ya Uchumba Mwezi Ujao Uganda, Harusi Ya Kifahari Ni
Tanzania Na Uganda.
Diamond na Zari
New buzz ni kuwa celebrities wanaodaiwa kuwa wapenzi Diamond Platnumz na
Zari The Boss Lady wapo mbioni kuvalishana pete ya uchumba.
Habari zinadai kuwa wawili hao
watavalishana pete ya uchumba mwezi ujao
mwishoni siku ya event ya White Party inayoandaliwa na Zari kila mwaka.
Party hiyo itafanyikia Uganada December 18 ambapo kwa mujibu wa Mitandao
ya Uganda Diamond ilijulikana mapema ataalikwa hata kabla ya picha za
kimahaba akiwa na Zari hazijasambaa ingawa wenyewe wamedai ni video ya
wimbo wao mpya.
Gossip zaidi zinasema kuwa ndoa ya kifahari kati ya wawili hao
itafanyika Tanzania na Uganda
0 Comments