DIAMOND ATANGAZA NDOA KATI YAKE NA WEMA

Mwanakaka Anaye Tamba Katika Muziki Wa Bongo Freva Nasib Abdul (Diamond Prutnums)Atangaza Ndoa Juu Ya Mpenzi Wake Wema Sepetu Diamond Aongea Mengi Kuhusu Shuhuri Hiyo Diamond Amesema Kuwa Hatafanya Harusi Yake Nje Ya Nchi Nakuwa Itaonekana Harusi Hiyo Imevunja Record Kwa Tanzania Diamond Asema Kuwa Hatafanya Ndoa Yake Mwisho Wa Mwaka 2014


Post a Comment

0 Comments